MAVUNDE AIBUKA MSHINDI JIMBO LA DODOMA MJINI


 >Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Dodoma Mjini, Wakili Msekeni Mkufya amemtangaza Anthony Mavunde wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa Jimbo hilo ambapo amepata kura 86,656 sawa na 86% akifuatiwa na Aisha Madoga wa CHADEMA mwenye kura 13,589 sawa na 13%.

.

#drixnews

Comments