FAHAMU ZAIDI HEINRICH HERTZ. MWANASAYANSI ALIYE GUNDUA MAWIMBI YA REDIO

 

Photo by The Real didas sylivanusy on August 28, 2020. Image may contain: 1 person, beard, text that says '6 FAHAMU ZAIDI HEINRICH HERTZ. MWANASAYANSI ALIYE GUNDUA MAWIMBI YA REDIO. Drixnews f'.


Fahamu zaidi Heinrich Rudolf Hertz  alikuwa mwanafizikia wa Ujerumani..

Mwaka 1888 aligundua mawimbi ya redio yaliyotabiriwa hapo awali na mlinganyo wa Maxwell.
.
Pia alionyesha kwamba mwanga ni aina ya mawimbi ya umeme. Kwa heshima yake kiimo cha marudio ya mawimbi kimeitwa kwa jina lake mwenyewe: Hertz (pia Hezi, kifupi Hz).
.
Hertz alizaliwa huko Hamburg mwaka wa 1857. Alijifunza uhandisi huko Frankfurt na baadaye Chuo Kikuu cha Munich.
.
Alimaliza Ph.D. yake katika Chuo Kikuu cha Berlin. Alifundisha na kuendelea utafiti katika Chuo Kikuu cha Bonn na Chuo Kikuu cha Kiel.
.
Alikufa kutokana na kuwemo kwa sumu mwenye damu.
.
#drixnews

Comments