Maneno ya @moodewji baada ya kukutana na shabiki wa Simba Kindio Hassan aliye pigwa na kuchaniwa jezi katika kuadhimisha kilele Cha siku ya mwananchi
.
Nimefurahi kukutana na wewe leo Bw. Kindio Hassan. Pole sana na changamoto uliokutana nayo. #MpiraNiUmoja! 🦁 #drixnews
Comments
Post a Comment