''NIMEBAKI NA DENI KUBWA KWENU WANANCHI''

Tundu Lissu Faces an Uphill Climb to Oust Magufuli in the Tanzania Election
                                        

 Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli amezungumza na wananchi wa Bahi, Dodoma ambapo amewahakikishia kuwa wakimchagua katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu atahakikisha anaendelea kuleta maendeleo kwa kasi kubwa ikiwa ni pamoja na kumalizia yale yaliyobakia.


"Nataka niwahakikishie kuwa sitowaangusha, nimebaki na deni kubwa, ninawaomba siku ya Tarehe 28 mwezi wa 10 msisahau jina la John Pombe Magufuli"-JPM
.
#drixnews

Comments