>Kutokea @wcb_wasafi @diamondplatnumz @officialzuchu na @Rayvanny Wamependekezwa kuingia kwenye kuwania Tuzo za GRAMMY Katika Vipengele mbalimbali
.
Msanii @diamondplatnumz amependekezwa kuingia kuwania tuzo za GRAMMY katika kipengele cha BEST MUSIC VIDEO
ambapo Video zake Mbili Jeje Na BabaLao Ndizo video zilizopendekezwa kuwania Tuzo katika Kipengele Hicho.
.
Msanii @officialzuchu amependekezwa Kuingia kuwania tuzo za GRAMMY katika kipengele cha BEST NEW ARTIST
.
Msanii @rayvanny amependekezwa kuingia kuwania tuzo za GRAMMY katika kipengele cha BEST WORLD MUSIC ALBUM kupitia album yake ya FLOWERS Aliyoiachia Mwanzoni mwa Mwaka huu 2020
.
#drixnews

Comments
Post a Comment