>Mwanadada kutokea WCB WASAFI@
queendarleen_ na mumewe @isihack wamebarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza pamoja.
Taarifa hiyo ya Queen Darleen kujifungua imethibitishwa na yeye mwenyewe kupitia ukurasa wake wa Instagram.
.
Hii ni baada ya Jumamosi hii Oktoba 10, kuposti picha ya mkono wa mtoto wake aliyoiambatanishia ujumbe wa kumshukuru M/Mungu “Alhamdullilah🙏🤲 10.10.2020 Baby Girl @balqis.isihaka Thanks Allah.”- Queen Darleen aliandika.
.
#drixnews

safi
ReplyDelete