>Kampuni ya mawisiliano ya simu ya mkononi ya airtel tanzania leo tarehe 08 disemba 2020 imetangaza kutoa faida ya kiasi cha sh 3.42bn/ kwa wateja wake wote wa airtel money kuelekea kipindi hiki cha msimu wa sikuku.
faida hii ni kwa wateja wote wa airtel money kwa kila robo ya mwaka kutegemea na kiasi ambacho mteja anakuwa nacho kwenye akaunti yake ya Airtel money.
kiasi hicho pia kitaonekana na matumizi ya mteja kwenye huduma yake ya airtel money
faida hiyo hutumwa moja kwa moja kwenye akaunti ya mteja ambayo anaweza kutumia katika matumizi yake binafsi kama vile LUKU,kulipia DAWASCO na mengine mengi.
@airtel_tanzania

Comments
Post a Comment